Msaada wa swali jamani

King SN

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
40
Reaction score
12
Wadau nisaidie majibu tafadhari
1:Ni upi umri sahihi wa kutoka nyumbani kwa wazazi (Kwenda kujitegemea)...

2: Ni upi umri sahihi unaofaa na kupendeza ikiwa mtu anataka kufanya maamuzi ya KUOA mke.

3: Ni mwanamke wa aina gani anaefaa kuoa kwa mtu anaetafta maendeleo....
Msaada wenu tafadhari
 
Ukipevuka akili, umri ni namba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…