Jamani ninajaribu kujifunza sheria ya ushahidi nikakutana na swali lifuatalo
(a) A agreed in writing to sell a house to B for shillings 10,000/= or shs 15,000/=. Can evedence be given which price was to be given?
(b) A agrees in writing to sell to B for Shs 10,000/= "my white horse". A has two horses. Can evidence be given to show which of them was meant?
Nitashukuru kwa msaada wa kitaalam ikiwa ni pamoja na references which I can make to consolidate my knowledge on this.
Thank you wana JM
Kabla hujapata msaada kwa shauri au zoezi lako lazima mambo yafuatayo uyaweke bayana.
1. Nani anampeleka mwezake mahakamani kati ya Mnunuzi and Muzaji ?
2. Kwanini wanakwenda Mahakamani, Je Mnunuzi hajalipa ? au Muzaji hajatoa vitu alivyotaka kuuza baada ya kupokea pesa au hata bila pesa ?
3. Baada ya kutolea maelezo yakinifu kwenye maswali hayo hapo juu ushauri unaweza kupata pamoja na ushahidi upi wa kupeleka . Kwa lugha nyingine kama ni muzaji ndio ashitaki kutaka mnunuzi amlipe ni dhahiri kwamba ushahidi wake anaohitaji kupeleka mahakamani ni tofauti ukilinganisha kama ambavyo mnunuaji ndiye anamshitaki muzaji !
4. Lakini zaidi ni lazima ujue pia yafuatayo katika sheria ya mikataba kabla huajaanza kufikiria ushahidi wa kutoa.
- Offer hii tangazo au unawezakusema ni kauli ya kuuza kitu kutoka kwa muzaji
- Acceptance hii unawezakusema ni kauli ya kuridhia kauli kutoka kwa mnunuzi
- Consideration mostly Common law as opposed to Civil law Jurisdiction hii hapa kwa lugha rahisi unaweza kusema ni price au promise etc.
Hivyo vitu 3 hapo juu kisheria baada ya kuhikiwa pamoja na mambo mengine mtu unaweza kusema mkataba umetengenezwa. Vinginevyo hakuna mkataba.
Baada ya kujua hao ni vyema kujua pia kanunu ambazo ili mkataba kisheria uhesimike na kutambulika kuwa ni halali lazima mambo kama uyajue
Makubaliano kwa kingereza
consensus of the mind lazima watu wakubaliane wachouziana na pia hicho kitu kiwe kimeelezwa vya kutosha kiasi cha kuwezakuwa identified la siovyo hicho kitu kisheria watu watachukuliwa kama vile hawajawahi kukubadina, if it creates ambiguity.
>
Certainity, it is a must that terms of the contract are to be clear na sio tata .
Baada ya kusema hayo, kwa kifupi swala lako hili ninaonyesha hakuna makubaliano katika ya muzaji na mnunuzi . Hujaonyesha, ONYESHA kama unataka kufanya assignment yako vizuri au kama ni kesi amekuletewa mteja wako vyoyote tu .
Certainity wewe umesema mtu anataka kuuza kitu kwa shhilling 10.000 and 15,000 kisheria huu mkataba ni tata IT IS NOT ALLOWED kwa urahisi pengine hii ni offer tu therefore no contract as of yet . Terms of the contract need be clear and certain. Reasons being its difficutly to tell which price has the parties agreed. ( 10,000 vs. 15,000)
Swala la ushahidi wewe peleka hayo maandishi hivyo the court will tell you there has never been a contract hapo kwahiyo hayo unayoyaita wewe ni makubaliano ni ushahidi tosha wa kusaidia mahakama kama kuna mkataba au la., !
Kwa lugha rahisi hakuna mkataba hapo !
Karibu tena !