Msaada wa taarifa za nafasi za kazi kwenye mambo ya kilimo

ommy15

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
674
Reaction score
1,017
Wanajamii forums naomba msaada mwenye taarifa ya nafasi za kazi kwenye mambo ya kilimo. Sifa ni diploma ya kilimo(diploma in general agriculture),
 
Wanajamii forums naomba msaada mwenye taarifa ya nafasi za kazi kwenye mambo ya kilimo. Sifa ni diploma ya kilimo(diploma in general agriculture),
mbona hizo kazi ni nyingi mno humu kuwa makini tu kilasiku zinatamgazwa auko makini kaka be care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…