Msaada wa taarifa!

amanindoyella

Senior Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
104
Reaction score
9
Naomba mwenye taarifa za kampuni iliyopewa tenda ya kuzoa takataka eneo la mikocheni B. Yaani kampuni hiyo ipo eneo gani? Pia kama unarisiti au invoice unaweza kuitundika hapa. Je watu wa manispaa ya Kinondoni wanahusikaje na:
1. Uzoaji taka?
2. Ukusanyaji wa pesa zinazohusu taka? Pia je kuna mtu yeyote mwenye any document inayohusiana na ukusanyaji wa taka mfano nini kinachowapa mamlaka ya kisheria wazoa taka kutoza fedha mfano Ofisi, mtu binafsi na je anatakiwa kulipia kiasi gani?
Ahsanteni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…