Mi ninayo Amazon Fire TabletNaomba mwenye android tablet ambayo angalau ina sifa hizi aniuzie;
1. storage angalau 16 gb
2.ram angalau 3 au2 gb
3. processor atleast 2GHz
4. mtandao hata iwe na wifi tu
5. isiwe ya tecno
6.iwe used ila nzima
7. iwe ya inchi 7 au 8
Pia anomba ushauri zaaidi. Niko dom
Asante sema hiyo ina ram ndogo sanaMi ninayo Amazon Fire Tablet
Ina storage 12
Ram 1
Inch 7
Mkononi tu nataka 80,000/=View attachment 1901086
Samsung S2 tab ram 3gb...32gb storage...fingerprint na inatumia cm card 4g. 600kView attachment 1901119View attachment 1901121View attachment 1901122
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi used Fire tab ukivizia Unapata chini ya laki, Ukitaka mpya chini ya laki 2,Naomba mwenye android tablet ambayo angalau ina sifa hizi aniuzie;
1. storage angalau 16 gb
2.ram angalau 3 au2 gb
3. processor atleast 2GHz
4. mtandao hata iwe na wifi tu
5. isiwe ya tecno
6.iwe used ila nzima
7. iwe ya inchi 7 au 8
Pia anomba ushauri zaaidi. Niko dom
Asante sana Chief. Umenisadia sana sasa nataka nifanye process ila HUDUMA YA KU FOWARD DIHAA TOKA US ndio ikojeHizi used Fire tab ukivizia Unapata chini ya laki, Ukitaka mpya chini ya laki 2,
Amazon product ASIN B07FKR6KXF
$40 mpya plus usafiri ni chini ya laki 2, Tumia service ya ku forward bidhaa toka us Ama Mwl.RCT
Service zipo nyingi sana Myus, ship and shop ya Aramex, kuna local companies za hapa etc.Asante sana Chief. Umenisadia sana sasa nataka nifanye process ila HUDUMA YA KU FOWARD DIHAA TOKA US ndio ikoje
Pitia hili bandiko:HUDUMA YA KU FOWARD DIHAA TOKA US ndio ikoje