MKONGORO JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 343 Reaction score 304 Feb 11, 2015 #1 Wakuu poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga taifa letu! Naombeni maana ya maneno haya "Courtesy visit" Natanguliza shukrani!
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga taifa letu! Naombeni maana ya maneno haya "Courtesy visit" Natanguliza shukrani!
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,938 Reaction score 6,942 Feb 11, 2015 #2 1. courtesy- fadhila 2. visit- tembelea. unganisha mwenyewe
Power to the People JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 1,198 Reaction score 894 Feb 11, 2015 #3 Ugeni wa hisani au ziara ya hisani
MKONGORO JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 343 Reaction score 304 Feb 13, 2015 Thread starter #4 Wakuu heshima kwenu kwa michango yenu imenisaidia kuuelewa ukurasa mzima maana maneno hayo yametumiwa zaidi ya mara 7 kiasi cha kunipoteza kabisa.
Wakuu heshima kwenu kwa michango yenu imenisaidia kuuelewa ukurasa mzima maana maneno hayo yametumiwa zaidi ya mara 7 kiasi cha kunipoteza kabisa.
Planner JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 348 Reaction score 148 Feb 17, 2015 #5 Pia wakati mwingine neno "courtesy call" huweza kutumika...ila maana inabaki ile ile.