Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
If you do not know where you are going any road or path will take you thereSasa nani alikwambia ukimbie shule lakini
Asante unaonaje likatumika neno kujenga na ikawa hivi:"je ulishawahi fikiria kuiweka biashara yako kwa ajili ya wateja ama kukufaidisha wewe tu"
Nb: Si tafsiri ya moja kwa moja, nimejaribu kubadili kabisa maneno,
binafsi nimeona sentensi yako ipo kwenye "business oriented (focus on making money while doing a business)" na ni "customer oriented (focus on satisfying the customers)" = for Customers or financing
Na ndio maana nikatoa hayo maneno
Kunakitu nimekipata toka kwako asante. We have made it only the two of us without making noise and an insult"je ulishawahi fikiria kuiweka biashara yako kwa ajili ya wateja ama kukufaidisha wewe tu"
Nb: Si tafsiri ya moja kwa moja, nimejaribu kubadili kabisa maneno,
binafsi nimeona sentensi yako ipo kwenye "business oriented (focus on making money while doing a business)" na ni "customer oriented (focus on satisfying the customers)" = for Customers or financing
Na ndio maana nikatoa hayo maneno
kwanini sio neno "kufanya" tuna jaribu kuandika kitabu.?Asante unaonaje likatumika neno kujenga na ikawa hivi:
Je ulishawahi fikiria jinsi ya kujenga
biashara Kwaajili ya wateja au mtaji,
kuzikabili changamoto zinazochochewa
na usiyoyatarajia, uvivu, uzembe na ujinga?
Title itakuwa:kwanini sio neno "kufanya" tuna jaribu kuandika kitabu.?
Title isiikimbie contents umbali mrefu... Kwangu Mimi kujenga ina sound kama unampa habari anayeanza, je contents inahusu tu kuanza ama hata yule ambaye tayari yupo kwenye biashara.
Mbona tafsiri yako naona iko sawa tuu.Nimefikiria maneno yafuatayo, Je ulisha fikiria jinsi ya kuiandaa biashara Kwaajili ya wateja au mtaji, lakini nadhani hapo hakuna neno linalowakilisha vizuri neno 'position'. To position a product is how you make a product be attracted by customers, similarly positioning for financial services is how you attract other peoples money for the business,(opm), je niandike hivi: Je ulisha fikiria jinsi ya kuitegeza biashara Kwaajili ya wateja au mtaji.
Angalizo ukiandika biashara yako itapoteza maana ya uwakilishi ninao utaka. Kwakifupi nahitaji neno linaloweza kuwakilisha vizuri neno 'position' kwa kiswahili
nilikuwa natafuta namna nzuri, (sahihi), ya kuwakilisha neno 'position' ambalo nimelipata, litakuwa neno=jengaMbona tafsiri yako naona iko sawa tuu.
Tengeneza na jenga kama zinaendana tu lakini uko sawa zaidi kulingana na mazingira unayotaka kutumia hilo nenonilikuwa natafuta namna nzuri, (sahihi), ya kuwakilisha neno 'position' ambalo nimelipata, litakuwa neno=jenga
Asante kwa ushauri mtiririko wa uwakilishi wa maneno kwasasa uko hivi:Tengeneza na jenga kama zinaendana tu lakini uko sawa zaidi kulingana na mazingira unayotaka kutumia hilo neno
...au ujinga?Asante kwa ushauri mtiririko wa uwakilishi wa maneno kwasasa uko hivi:
umewahi fikiria jinsi ya kujenga
biashara Kwaajili ya wateja au mtaji,
kuzikabili changamoto zinazochochewa
na usiyoyatarajia, uvivu, uzembe na ujinga?
hahaha! nimelipokea, au ujinga?...au ujinga?
...na ujinga?
Ipi itakuwa nzuri hapo?
Hii ni ad siyo?
Nimewaza tena matumi ya neno ama je...au ujinga?
...na ujinga?
Ipi itakuwa nzuri hapo?
Hii ni ad siyo?
Je ulishawahi kuifanya biashara yako:Asante kwa kujaribu nahitaji maneno mafupi sana yanatakiwa yasomeke kwenye sura ya kitabu ya kimombo yatakuwa kama ifuatavyo
Have you ever thought of how to position?Swahili version: Je ulisha fikiria jinsi ya kuiandaa
Business for Customers or financing
And adaptation to challenges,
Catalyzed by uncertainty or
laziness and ignorance
biashara Kwaajili ya wateja au mtaji,
kuzikabili changamoto zinazochochewa
na usiyoyatarajia, uvivu, uzembe na ujinga?
Asanta sana kwa mawazo yako, nimeyachukua nitaya chakata, iko hivi nimeshaandaa maandishi kwa kimombo.(wording documents in English to publish a book in entrepreneurship), lengo ni kuyatafsiri kwenda kiswahili nataka vitabu vyote viwili vizunduliwe siki moja nimepanga kuvizindua tarehe 4-11-2023.Je ulishawahi kuifanya biashara yako:
Ivute wateja na / au
Ivute wawekezaji
Ikabiliane na changamoto
Zinazochagizwa na sintofahamu, uvivu na uelewa finyu.
Kila la Kheri katika kuelimisha jamii!Asanta sana kwa mawazo yako, nimeyachukua nitaya chakata, iko hivi nimeshaandaa maandishi kwa kimombo.(wording documents in English to publish a book in entrepreneurship), lengo ni kuyatafsiri kwenda kiswahili nataka vitabu vyote viwili vizunduliwe siki moja nimepanga kuvizindua tarehe 4-11-2023.