Najaribu kuandika kitabu cha shule ya chekechea (Nursery) Tatizo ni kuwa vitabu vingi hapa ni vya kiingereza. Nahitaji yule aliye na tafsiri ya maneno haya aweze kunisaidia
Weather - Jea ni Hali ya anga au hali ya hewa?
Sunny -
Cloudy -
Windy -
Rainy -
Je, maneno haya yana tafsiri zao moja kwa moja au ni lazima niandike maneno mengi?