Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
Habari wakuu,

Kabla sijalala nilimuomba MUNGU anifunulie jambo fulani kupitia ndoto, sasa nilipolala nimeota Niko na kaka yangu namsindikiza safari akanipa dumu/galoni limejaa divai/whine nikawa nakunywa kwa kulimiminia mdomoni huku tukiendelea kupiga story. Itakuwa na maana gani?
 
dumu la lita tanoeee

utakuwa na miaka 5 ilojaa mafanikiooo ikipita hiyo utakuwa na miaka 5 ya changamotoo (hustle) so jiandae
 
Maana yake ulevi wa kaka yako umehamia kwako
 
Njaa ya hatari inakuja mbele yako mana haiwezekani unywe divai ikiwa ndani ya dumu
 
Back
Top Bottom