Msaada wa Tafsiri ya ndoto!

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,235
Habarini wakuu?

Kwa wenye ujuzi wa tafsiri za ndoto naomba tafsiri ya ndoto hii;

Ukiota uko bar eneo la kaunta unapiga kinywaji, kampani yako ni mwanamke wa kaunta. Hii tafsiri yake nini? Au haimo kwenye orodha ya ndoto[emoji2]
 
Tafsiri yake ni hii👇
Acha ulevi.
Kimtokacho mtu ni kile kilichojaa moyoni mwake.
Mimi tangu nizaliwe sijawahi ota ndoto za pombe kwakuwa sijawahi kunywa pombe.
 
Tafsiri yake ni hii[emoji116]
Acha ulevi.
Kimtokacho mtu ni kile kilichojaa moyoni mwake.
Mimi tangu nizaliwe sijawahi ota ndoto za pombe kwakuwa sijawahi kunywa pombe.
Wale wanaoota wanapaa, huwa wanakuwa wameshawahi kupaa pia?
 
Tafsiri yake ni hii[emoji116]
Acha ulevi.
Kimtokacho mtu ni kile kilichojaa moyoni mwake.
Mimi tangu nizaliwe sijawahi ota ndoto za pombe kwakuwa sijawahi kunywa pombe.
Mimi sio mlevi!
 
Naotaga ndoto za kufanana na zako.. sometimes nakuwa nipo nduki chakali lakin nikilala naota ndoto ya namna hiyo na ninaikumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…