Any time mkuu!Asante E-Paster
WanaJamii
Habari ya mchana, poleni na majukumu na tafakuri za hapa na pale
Wandugu, nina thesis naiandika kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu, na nahitajika kutumia neno kuchakachua kwa kiingereza.. Naombeni msaada wenu kama kuna neno zuri zaidi la kiingereza chake naweza kulitumia..
Shukran