Nitajaribu kueleza kwa Kiswahili lakini sijui kama nitafaulu! (Kutafsiri neno lenyewe kwa Kiswahili sijui.)
Nafikiri wengine wanaweza bora kuliko mimi!
empathy: uwezo wa kujisikia vivyo hivyo mtu mwingine anavyojisikia (hasa katika mateso yake)
: kumhurumia mwingine kwa sababau unaelewa moyoni mwako jinsi anavyoumia (hapo maana yanakaribia maana ya sympathy')
: (the ability to identify with the feelings of another person in their situation)
critical thinking: Kutokupokea kitu (kiwe kweli) bila kuchunguza kitu kile kabisa na kugundua ukweli halisi.
: Kutumia akili ili kugundua kama jambo fulani ni kweli au siyo kweli.
: (using reasoning faculties to establish if something is true or not, or partially true.)