Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Navyojua mimi BF inatengenezwa USAWakuu salama? Nilikua natafuta tairi za BF Goodrich sasa nimepata za 2018 ila ni “Made in poland” original. Nimepambana sana kwa namba nayotaka ndo zimepata za 2018 nimezunguka sana.
Naombeni msaada na ushauri kabla sijalipia.
Na pia kama naweza pata dealers wa Tairi za BF Goodrich nitashukuru.
Navyojua mimi BF inatengenezwa USA
Yani made in USANi USA nimekosea mkuu
Ni size gani ulikuwa unatafuta??
Je Size hii 225/70/R16 bei gani?Ni size gani ulikuwa unatafuta??
Ipo ya 180000 brand Sportrack ya China