Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Hujamaliza unipe miongozoNgoja kwanza nimalizie chupa ya mwisho nitarudi, visa ya nchi gani kwanza??
Hujajibu swali, nchi gani mzee?Hujamaliza unipe miongozo
IndiaHujajibu swali, nchi gani mzee?
India, Qatar, Pakistan, Dubai, AustraliaUnata kwenda wapi ili watu wakupe taratibu za kupata viza ya huko unakotaka kwenda
Nikajua Schengen au US, hao chori chori mbona hawana noma kabisa.India
Tafuta tovuti za balozi za Tz, uone taratibu zao.India, Qatar, Pakistan, Dubai, Australia