Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,368 Aug 23, 2012 #1 Kwa wale ambao wanamanya opening day kwa 1st year muhas nisaidieni ili nianze kujipanga kimshiko coz huenda nikabaniwa boom maana nilisahau kuweka sign ya mdhamini!
Kwa wale ambao wanamanya opening day kwa 1st year muhas nisaidieni ili nianze kujipanga kimshiko coz huenda nikabaniwa boom maana nilisahau kuweka sign ya mdhamini!