Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh Aya ya mwisho imeniacha hoi.Yafuatayo ndio yataamua ujenzi uwe wa gharama sana au nafuu... Kiwanja chako kipo tambalale mlimani au korongoni? Ramani yako ina ukubwa wa sqm ngapi..? Umefanya utafiti wa bei za mafundi wazuri?
Umefanya utafiti wa bei za materials..? Ukizingatia hayo basi utakusaidia kusimamia ujenzi wako. Ila hiyo raman unaweza kutafuta nyingine zipo nyingi tu mitandaoni, hiyo ramani Master Bedroom inaangaliana milango na Chumba kingine.
Hiyo sio vzuri haina privacy na usalama, pia utaichukia ukihamia unapishana na watu wakat unaingia chumban kwako... All in all ujenzi makadirio haizid 35-40M ukijenga popote pale Tz.
in 10 yrs, nimejenga Dar, Dom, Arusha na Mbeya... nyumba za 3 and 4 bedroomsDuh Aya ya mwisho imeniacha hoi.
Hii ina uhusiano gani na comment yangu?in 10 yrs, nimejenga Dar, Dom, Arusha na Mbeya... nyumba za 3 and 4 bedrooms
kukufungua akili tuHii ina uhusiano gani na comment yangu?
JF Raha sana. Kwa majibu yako tu unaonekana wewe ndio unahitaji kufunguliwa akili.kukufungua akili tu
Watu wengine mahajabu Sana haujauliza nyumba zake anakuja na upummmmm wake hachana naeHii ina uhusiano gani na comment yangu?
Mimi sioni shida milango kuangaliana maana wataokaa humo ni familia.Ahsante kaka kwa ushauri
Ventilation kwa sitting room majangaHongereni na majukumu ya siku nzima ya leo..kama kichwa cha mada kinavyo jieleza
Wenye uzoefu na ujenzi..kwa ramani hii inaweza gharimu kiasi gani hadi kumaliza ujenziView attachment 2331629
So ukipata vipimo unaweza kadiria gharama ya ujenzi?Vipimo ndio mchawi wa gharam za jengo
Kinacho determine uzuri wa nyumba ni site au ramani? Site inaweza kufanya ramani mbovu kuwa nzuri?Hiyo ramani inaweza kuwa nzuri kutegemea na site yake ilipo.
Vyote kwa pamoja vinategemeana. Na ramani mbovu kwako yaweza kuwa nzuri kwa mwenzio. Kila mtu ana vionjo vyake. Ili mradi izingatie vigezo vya usalama.Kinacho determine uzuri wa nyumba ni site au ramani? Site inaweza kufanya ramani mbovu kuwa nzuri?
1. Mpangilio wa vyumba hauko vizuri. Inafaa zaidi master br kuwa upande wake na hivi vyumba vingine upande mwingine.Vyote kwa pamoja vinategemeana. Na ramani mbovu kwako yaweza kuwa nzuri kwa mwenzio. Kila mtu ana vionjo vyake. Ili mradi izingatie vigezo vya usalama.
Tukilejea kwa hiyo ramani kuna ubovu wowote unauona?