eli_elikana
New Member
- Dec 2, 2022
- 1
- 0
Dah! Aisee pole sana Ndugu.😱😱😱Natumai nyote mu wazima wa afya naombeni ushauri
"Mdomoni kumebadilika rangi na kupata utando mweupe ndani ya mdomo na ulimi wote, tumbo kuunguruma na maumivu mara mojamoja kooni na maumivu ya tumbo pamoja na maumivu ya joints
Tatizo ni nini Jamani na suluhisho lake ni lipi?"
Naombeni ushauri tafadhali wakuu.
kandidiasis, acha kunyonya nyuchi zilizoekspayaMdomoni kumebadilika rangi na kupata utando mweupe ndani ya mdomo na ulimi wote
Kwanza nikupe pole sana mkuu, matatizo yapo kwaajir yetu na muhimu co unareact vp.. Muhimu unayatatua vip??Natumai nyote mu wazima wa afya naombeni ushauri