speechless
Senior Member
- Oct 1, 2013
- 101
- 27
Kuna hosptal flani ipo sinza kwa bahati mbaya nimesahau jina la hyo hosptal mana nilienda zamani sana ni nzuri kwa tatizo hlo embu jaribu kuulizia vzuri uende huko! Ila jiandae gharama zake zipo juu!
Kuna specialist wa ngozi dr, Massawe kama sijakosea,, clinic yake ipo kwenye kona ya kwenda muhimbili kama unatokea shule ya jangwani.. kumuona kama sikosei ni elf 20,, try him.. and all the best
NB Exactly allergy ya nini unayo?? najua umesema kwenye ngozi lakini,, unajua ni nini ina trigger,, na ngozi inakuwaje??
Pole sana
ni allergy ya muda mrefu toka utoto na tatizo kubwa n kwmba ngozi inapoteza rangi yake ya asili na kuwa nyeupe kwa baadhi maeneo na hakuna muwasho wa aina yoyote, mabadiliko yanaonekana hasa kuanzia shingoni kushuka chini na sijajua kama tatizo ni chakula ama kitu kingine.