Msaada wa Tiba au Mbinu za Kuzuia Kigugumizi

Mambo Safi

Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
36
Reaction score
9
Habari zenu wakuu, Naomba Msaada Kwa wale ambao wanaofahamu Tiba Au Mbinu zozote za kuzuia Kigugumizi wanisadie maana sasa limekuwa Tatizo Kwangu. Nawasilisha kwenu wakuu.
 
Jitahidi uwe unaongea taratibu, kama umri wako bado ni mdogo kigugumizi huweza kuisha chenyewe au waweza muona speech therapist kwa msaada zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…