Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,861
- 810
Habari humu ndani,
kwa wataalamu naomba mnisaidie, ninapata maumivu ya kichwa makali sana na kupelekea macho kuuma sana, hata nikigeuka au kuinama ili nipate kujisikia nafuu mpaka nifumbe macho. Kwa anayefahamu tatizo ni nini? na tiba yake ni nini? asanteni na usiku mwema.
cc: mzizi mkavu, Dr mo.