msaada wa tiba naumwa.

Kijana leo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
2,861
Reaction score
810
Habari humu ndani,
kwa wataalamu naomba mnisaidie, ninapata maumivu ya kichwa makali sana na kupelekea macho kuuma sana, hata nikigeuka au kuinama ili nipate kujisikia nafuu mpaka nifumbe macho. Kwa anayefahamu tatizo ni nini? na tiba yake ni nini? asanteni na usiku mwema.
cc: mzizi mkavu, Dr mo.
 
natamani kukuche, yani nateseka na hiki kichwa jamani. ma Dr wa humu ndani mpo wapi?
 

Maumivu ya Kichwa


Chukua unga wa Habbat-Sawdaa kipimo cha vijiko 3 kikubwa cha kulia wali ,na karafuu iliosagwa nusu ya kiwango cha Habbat-Sawdaa na Anisuni (anise) kijiko kimoja na nusu , halafu Uchanganye

pamoja. Uchukue kiasi cha kijiko kimoja (cha chai), wakati wa kuumwa na kichwa, na Unywe na maziwa lala (mala), na Unga mwengine wa kupasugua

mahala panapo uma kwa mafuta ya Habbat-Sawdaa .huo unga changanya na hayo mafuta ya
Habbat-Sawdaa ujisugue.
 
Kujitibu maumivu ya kichwa kwa dakika 5 pasipo na kutumia dawa jaribu njia hii



Natural Therapy For Headaches!
In about 5 mins, your headache will go.......

The nose has a left and a right side.
We use both to inhale and exhale.
Actually they are different.
You'll be able to feel the difference.

The right side represents the sun.
The left side represents the moon.

During a headache, try to close your right nose
and use your left nose to breathe.
In about 5 mins, your headache will go.

If you feel tired, just reverse, close your left nose
and breathe through your right nose.
After a while, you will feel your mind is refreshed.

Right side belongs to 'hot', so it gets heated up easily.
Left side belongs to 'cold'.

Most females breathe with their left noses,
so they get "cooled off" faster.
Most of the guys breathe with their right noses,
they get worked up.

Do you notice, the moment you awake, which side breathes better?
Left or right ?
If left is better, you will feel tired.
So, close your left nose and use your right nose for breathing..
You will feel refreshed quickly.

Do you suffer from continual headaches?
Try out this breathing therapy.

Close your right nose and breathe through your left nose.
Your headaches will be gone.
Continued the exercise for one month.

Why not give it a try.....a natural therapy without medication............

Chanzo.
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-dakika-5-pasipo-kutumia-dawa-jaribu-hii.html


Kama wewe ni Mwanamme ziba tundu ya kushoto ya pua yako kwa muda wa dakika 5 upumuwe kwa tundu ya

kulia baada ya dakika 5 angalia utakuta kichwa chako kimepona. Kama bado hujapona ziba tundu ya pua ya

kulia upumuwe kwa tundu ya kushoto kwa muda wa dakika 5 kisha achia hiyo pua uliyoziba utakuta

umekwisha pona Jaribu kisha uje unipe feedback.



La kama Wewe ni Mwanamke Ziba tundu ya Poa ya upande wa Kulia upumuwe tundu ya Pua ya upande wa

kushoto kwa muda wa dakika 5 kisha angalia umepona? Kama bado hujapona Ziba tundu ya Pua ya upande wa

Kushoto upumuwe tundu ya Pua ya upande wa kulia kwa muda wa dakika 5 kisha achia hiyo Pua uliyoziba

kisha angalia je umepona? kisha uje hapa unipe Feedbak.
 
asante mzizi mkavu, kwa sasa nafanyia kazi option b kwa sababu inawezekana kwa muda huu, hiyo nyingine kesho asubuhi. asante sana.
 

Huo unga wa habbat sawdaa ndio unga gan na unapatikana wapi?
 
Huo unga wa habbat sawdaa ndio unga gan na unapatikana wapi?
Kama upo Mjini Dar nenda kaulize wanaouza dawa za kiarabu wapemba karibu na sokoni kariakoo utapata hiyo Habbat sawdaa unautwanga na kuuchekecha uwe unga.




Nigella Sativa seed Habbat Sawdaa.
 
Aise nisameha mkuu jana sijaingia jf....lakini labda kwa haraka niseme kwa maelezo yako unaweza kuwa unasumbuliwa na cluster hedache....kama hicho kichwa kinakua kinakusumbua mara kwa mara na kwa kipindi flani...cluster hedache...clinicaly inakuawa...hutokea kwa kipindi flani mara 1/2 kwa wiki, ,inaweza kuwa mda huo huo ambayo mara ya mwisho ilikupata, maumivu yake yanakuwa kama yanauma ntuma ya jicho moja na piapua moja huziba au huweza kupata mafua makali.... na matibabu yake wakati mwingine kama unaenda hospitali...huweza kukuwekea oxygen , kurelease nasal blocking, lakini pia ukitumia dawa za migraine(aina nyingine ya hedache) husaidia...lakini pia ant-pain zenye cafein...huweza kusaidia.......hii type ya hedache husababishwa na vitu vingi...lakini common ni-vitu kama stress(emotionaly/ au physical-kama kukaa kwa mda mrefu-hasa sisi tunaofanya kazi..km kwenye computer), kutolala usingizi wa kutosha, kilaji kwa wazee wa gambe, sigara...lakini pia kuna kurithi flan hivi.....so unaweza kupiga hizo dawa hapo na kuepuka hivyo vitu...hasa stress za hapa na pale ..kama una tendency ya kurudiwa na hicho kichwa..............lakini pia nakushauri mkuu ukipata nafasi uende hospitali amabapo kuna madr na huduma zilizo tulia ili kuweza kuangalia other posibility amabazo zinaweza kusababisha hiyo hedache...maana kua aina nyingine za kichwa kuuma ambazo zinafanana kidogo na hiyo kama migraine na tension hedache....na pia kuweza kupima vitu vingine ambavyo vitasababisha pia...kama presure , upungufu au damu kuwa nyingi(japo kichwa chake kinakua na kizungu zungu)...na ukikaa chini ukiongea na dr inaweza kua bomba zaidi...maana kuna maswali kidogo kabla ya kufika mwisho kabisa.....lakini kwa mimi naona hiyo yako inaweza kuwa CLUSTER HEADACHE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…