Msaada wa tiba wa tatizo la upele na makovu yake.

Ronzobe B29

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
242
Reaction score
89
Habar wanajf
Natumaini mu_wazima kwa neema ya mungu.
Basi niende moja kwa moja kwenye maada, kuna ndugu yangu anatatizo la kutoka upele hasa maeneo ya mgongoni, kifuani na kwenye mabega
Tatizo hili alinambia lilianza tangu balehe, upele huo hua unatoka katika hayo maeneo lakini baada ya mda unapasuka na kuacha makovu yanayoonekana kitu kinachomfanya kutojiamin akiwa faraghani na lazizi wake

Hivyo mwenye kujua hili tatizo au aliyekuanalo likaisha anaomba msaada wako ili ngozi yake naye iweze vutia na kujiamin pia
 

Attachments

  • IMG_20181020_155905.jpg
    83.9 KB · Views: 60
Nenda aga Khan kuna mtaalam wa maswala ya ngozi....yuko vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…