Msaada wa tiba ya allergie

Msaada wa tiba ya allergie

dr shayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
555
Reaction score
980
Ni juz juzi nilikula nyama ya kondoo, sasa hivi nimeota vipele usoni. Naomba msaada wa dawa gani nitumie ili viishe?
 
Allergy au mzio ni tatizo analopata mtu na kumsababishia dalili kama vile mwili kuwashwa, macho kuwasha na kutoa machozi, kuharusha , kupiga chafya, kifua kubana na nk.

Hii husababushwa na mwili kujenga kinga ikuyanapo kwa Mara ya kwanza na protein(allergens), mwili hutengezeza immunoglobulin E ambayo huja kwenye baadhi ya cell za mwili kama vile mast cell, macrophages n.k .
Kinga kii husubili wakati mwingine mwili ujapo kutana na hiki kitu .
Ikikutana na huki kitu husababisha mapambano ambayo husababisha kutolewa kwa kemikali kama vile histamani n.k ambayo husababisha dalili hizo zote.

Sina uhakika kwa maelezo yako kama itakuwa allergy
 
Usitegemee daktari humu kutoa tiba

Ukiona umsandikiwa dawa basi jua hana taaluma ya afya
 
Labaika.
Ethics zap haziruhusu kutoa huduma ovyo.

Aende hospital.
Hata ile move ya histology na anatomy hawaijui

Miaka mitano si mchezo

Ongeza mmoja wa intern acha kabisa

Hatutibu kienyeji kama ni elimu ya magonjwa tutatoa na prevention methods lkn tiba lzm aje hosp
 
Back
Top Bottom