Allergy au mzio ni tatizo analopata mtu na kumsababishia dalili kama vile mwili kuwashwa, macho kuwasha na kutoa machozi, kuharusha , kupiga chafya, kifua kubana na nk.
Hii husababushwa na mwili kujenga kinga ikuyanapo kwa Mara ya kwanza na protein(allergens), mwili hutengezeza immunoglobulin E ambayo huja kwenye baadhi ya cell za mwili kama vile mast cell, macrophages n.k .
Kinga kii husubili wakati mwingine mwili ujapo kutana na hiki kitu .
Ikikutana na huki kitu husababisha mapambano ambayo husababisha kutolewa kwa kemikali kama vile histamani n.k ambayo husababisha dalili hizo zote.
Sina uhakika kwa maelezo yako kama itakuwa allergy