Msaada wa tiba ya huu ugonjwa (vipele)

Lutena

Member
Joined
May 26, 2015
Posts
31
Reaction score
4
Salaamu zenu wakuu, nimekuwa na ugonnjwa wa kutokwa na viupele sehemu za siri harafu baada ya kupona vinatokea vidonda mdomon na hupelekea kupata hadi homa, na hujitokeza mara moja kwa kila mwezi ss nashidwa kujua ni ugonjwa ngani na nn tiba yake msaanda jaman maana huwa yananisumbua sana , nawasilisha
 
watanzania tiba yoyote ili ifanyikiwe ni lazima umwone dr/ni vema ukamwone dr wa ngozi atakusaidia tatizo lako
 
Pole sanaaaa....njoo inbox nikupe msaada...sio homa za usiku....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…