Moudrick Lukindo
New Member
- Oct 2, 2022
- 4
- 0
Vyovyote iwavyo, kama ni wewe au ni mwingine, ushauri wangu ni kwenda hospitali ambapo vipimo na matibabu sahihi vitapatikana. Inaweza kuwa ni tatizo tofauti na vile linavyoonekana, hivyo ushauri wangu kwanza ni vipimo kisha matibabu. Kilanla kheri.Habari wakuu.
Nini tiba ya malengelenge ama vipele design kama vinaeka maji hivi kwandani maeneo ya kiunoni mpaka sehemu ya kitovu na maumivu yake kwa ndani ni makali sana kiasi kwamba hakuna ushirikiano seheme ya juu kichwani na miguu?
HIV amepima hanaMkanda wa Jeshi huo.. moja ya Dalili za HIV mara tu kinga zinapoanza kushambuliwa.
Wahi Hospital ndani ya siku mbili za mwanzo..
Asante san kiongoziVyovyote iwavyo, kama ni wewe au ni mwingine, ushauri wangu ni kwenda hospitali ambapo vipimo na matibabu sahihi vitapatikana. Inaweza kuwa ni tatizo tofauti na vile linavyoonekana, hivyo ushauri wangu kwanza ni vipimo kisha matibabu. Kilanla kheri.
Asante sanPole