Msaada wa tiba ya maumivu ya kiuno

mi nina hayo uliyosema kasoro sina shida ktk tendo la ndoa na prof mmoja alisema itakuwa disc vitugani huko sikumbuki ila siwezi kukaa kwa takribani wiki 3 sasa
 
Tafuta kimeo kwanza score bao zako 3 then lete majibu apa
 


Mkuu kwa hiyo unatakiwa kupaka kwanza hiyo Dawa halafu ndo unalalia hilo taulo lenye Maji moto au unalalia kwanza taulo then ndo unapaka Dawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…