Msaada wa tiba ya mwanaume kushindwa kuzuia mkojo

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
JF doctors,

Naomba msaada kuna mzee flan mwenye umri wa miaka 70 anatokwa na mkojo, yani anaweza kukaa tu mkojo ukatoka wenyewe tatizo ni nini, sio mlevi wala mtumiaji wa dawa zozote za kulevya. msaada ili tumsaidi na tiba yake ni nini.

Asanteni
 
Uzee pia ni moja ya sababu.
Ila ungesogea karibu na hospital ukakutana na bigwa kuhusiana na maelekezo na vyakula gani vitamsaidia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…