Msaada wa tiba ya tatizo na keloidi

kisiki kizito

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
676
Reaction score
858
Habari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na tatizo usoni la nyama zilizotoka baada YA makovu YA chunusi.. (keloidi) Naomba kujua namna YA kuondoa tatizo hilo
Ahsanteni
 
Kwa Niaba ya ioseverest nakupa Pole mkuu
 
Kakutane na daktar bingwa wa magonjwa ya ngozi. Huyo atakusaidia zaid.
 
Kakutane na daktar bingwa wa magonjwa ya ngozi. Huyo atakusaidia zaid.
Mkuu ahsante Ila Sasa Naomba kama unaweza kunielekeza sehemu... Kwan sehemu nilizoenda wamekuwa wakinipa Dawa zinazoanzisha magonjwa mengne na CYO kutibu
 
Habari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na tatizo usoni la nyama zilizotoka baada YA makovu YA chunusi.. (keloidi) Naomba kujua namna YA kuondoa tatizo hilo
Ahsanteni
Mkuu nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia maradhi yako upate kupona.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…