Msaada wa tiba

kibega

Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Mimi nasumbuliwa na vidonda vya tumbo, vinamuda wa mwaka mmja toka vinipate.
 
Pole. Subiri hapa hapa MziziMkavu anakuja na dawa. Ukiona anachelewa mPM
 
Mkuu.@kibega Pole sana kabla ya kukupa Dawa zetu za asilia Mitishamba tuna maswali tunayo taka kukuliza je umekwenda Hospitali kutumia dawa yoyote ile ya vidonda vya tumbo?Na kama umekwenda Hospitali na kutumia dawa je zimekusaidia kwa hayo matatizo yako? ninakuomba unijibu nipate kukupa ushauri wangu mzuri huenda ukapona inshallah ukifuata ushauri wangu asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…