Jamani wana jamvi wenzangu la elimu nilikuwa naomba kwa yeyote anayefahamu website ambayo nnaweza kushusha vitabu bure bila malipo anisaidie.. vitabu vya masomo ya science lakn kwa A-Level maana mambo ni mengi na material yanakuwa machache hivyo tunashindwa kufanya kazi ya kusoma effectively ukizingatia mabook mengi bei ziko juu sana.... na vitabu vinahitajika vingi sana..... Msaada please kwa anayefahamu anisaidie mie mwana-PCB
Kuwa na account google(gmail),,,Halafu ingia 4shared.com,,utaweza ku download vitabu vilivyopo apo bure,,,pia ingia bookboon.com,,nayo ina vitabu ambavyo vitaweza kukusaidia,,,pia penda kuuliza maswali kupitia yahoo answers but nako ujiunge coz different people from da world can answer u,,,,,other wise ungekua PCM ngekutaftia maana nlikua na vtabu vng sana vya maths hasa vya wahindi,,,,kama una cash bac,,kuwa na master cad tu,,unaweza pata vtabu online au ka na ww ni wa kuuliza maswali yaani kutafuniwa full kuna tovuti ambazo unauliza swali/una2pia assigment yako,na wanakujibu but kwa malipo,,hiyo apo,,,,assigment.com