Msaada wa training kwenye warehouse na store keeping

Joined
Dec 11, 2014
Posts
5
Reaction score
0
wanandugu za jioni.naomba msaada wa kufaamu ratiba mbalimbali za training kwenye fani tajwa hapo juu kwani mke wangu amepewa nafasi na ofisi yao mwakani kuhudhuria training lakini kwa shart atafute mwenyew na wao watamlipia gharama zote.naombeni sana mnipatie link au makampuni binafsi au ya umma yanayotoa training kwenye taharuma izo ndani ya Tanzania
jion njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…