Ndugu zangu nilikuwa nimechaguliwa chuo cha tiba tandabui ila wafazili wangu wakakataa kunilipia ada ila nilikuwa nimekwisha lipa laki 4 je naweza pata transfer ya chuo af chuo ga naweza pata au nimechelewa msaada ndugu kwa mtu yoyote anayeweza kunisaidia atumie no 0756773023