Msaada wa translation

Msaada wa translation

Martinez

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
525
Reaction score
160
Huwa napata shida kulitumia neno KUMBE katika lugha ya kiingereza

Mfano sentensi;
Kumbe Tanzania ni nchi tajiri.
sentensi hiyo itakaaje vizuri kwa kiingereza
 
Hiyo sio sentence ya Kiswahili iliyokamilika.... Kama unataka tafsiri ya neno 'kumbe' nenda kwenye kamusi ya Swahili - English
 
Hiyo sio sentence ya Kiswahili iliyokamilika.... Kama unataka tafsiri ya neno 'kumbe' nenda kwenye kamusi ya Swahili - English

Ive just asked for a better way of translating that sentence !!!
U can help by just translating it
 
Ive just asked for a better way of translating that sentence !!!
U can help by just translating it

Its not easy to translate that. inategemea na matumizi katika sentensi. na hiyo sentensi yako haijakamilika kuleta maana ndo maana inakuwa ngumu kutransalate. there has to be some sentence or a couple of words before that to make it a complete meaningful sentence ili uweze kutranslate. umeelewa sasa??
 
Kumbe Tanzania ni nchi tajiri = I see tanzania is a rich country
 
Mnaojaribu kutafsiri msiji-tune katika kuliweka neno kumbe mwanzo wa hiyo phrase yake. Kiingereza kinaanzia nyuma kuja mbele. endeleeni watanzania wenzangu kumsaidia
 
Kwa mtazamo wangu KUMBE inatokana na neno kumbukumbu hivyo kwa sentesi yako KUMBE TANZANIA NI NCHI TAJIRI inaweza kutafsirika hivi I THINK TANZANIA IS A RICH COUNTRY au unaweza pia kutumia superlative degree I THINK TANZANIA IS THE RICHEST COUNTRY hii ni kama una lengo la kulinganisha na nchi zingine
 
Kulitumia neno kunakulazimu ujue neno hilo liko katika kundi gani la maneno. Utapata taabu kubwa kuanza kutafsiri sentensi kama hiyo na ndo maana wanajamvi wanaishia kutoa direct transalation. Neno kumbe linaweza kufanya kazi sawa na neno 'alas' la Kiingereza. Vyote ni vihishishi!!:yo:
 
Back
Top Bottom