M mge JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 558 Reaction score 179 Nov 16, 2014 #1 Naomba msaada wa tuition nzuri kwa masomo ya A-level combination za PCB NA PGM. zinapatikana wapi? Wanafunzi wanakaa Gongo la mboto
Naomba msaada wa tuition nzuri kwa masomo ya A-level combination za PCB NA PGM. zinapatikana wapi? Wanafunzi wanakaa Gongo la mboto
MENISON JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 726 Reaction score 621 Nov 18, 2014 #2 kama wanaweza kufika mwenge waje tuition inaitwa mzumbe motto ipo karibu na uwanja wa mpira wa miguu , kwa maelezo zaidi wasiliana 0716282670
kama wanaweza kufika mwenge waje tuition inaitwa mzumbe motto ipo karibu na uwanja wa mpira wa miguu , kwa maelezo zaidi wasiliana 0716282670
Princess Somali Senior Member Joined Jan 10, 2014 Posts 182 Reaction score 66 Nov 22, 2014 #3 Kwa huyo wa pcb, ni pm ntakuelekeza tuit ya ukweli, trust me
itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 893 Reaction score 1,739 Nov 24, 2014 #4 physics kwa mgote au mtiga, mathematics kwa logboy au mwarami, geography sijui.