Msaada wa Tuition ya A-level Science

Msaada wa Tuition ya A-level Science

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
558
Reaction score
179
Naomba msaada wa tuition nzuri kwa masomo ya A-level combination za PCB NA PGM. zinapatikana wapi? Wanafunzi wanakaa Gongo la mboto.
 
Tuition zote zipo kwenye mtandao. Only need a smartphone to access relevant resources.
 
Tuition is for primary 7 kids. A level mtu lazima uwe mkakamavu. Unjituma kweli.

kujituma ni sawa lakini je unachokitilia mkazo kinaingia kichwani?? maana hakuna kitabu cha advance kilichoandikwa kwa kiswahili.. na statement yako ipo vice versa ukiwa mdogo unatakiwa ushughulishe bongo isije ikalala.. by the way advance ulikomaa mwenyewe nini??
 
Sikuwahi kuhudhuria tuition once somehow we sailed through public schools. Reading topics ahead during school holidays inasaidia.
 
Sikuwahi kuhudhuria tuition once somehow we sailed through public schools. Reading topics ahead during school holidays inasaidia.

ukiona mambo haziendi unavizia aliesoma tuition unadiscus nae.. things are cooking on!! mimi nilihudhuria kwa baadhi ya topic ambazo zilikua zinanichanganya haswa physics.. nilikua nazisoma za mbele wakat nipo skuli kama ikinizingua natafuta tuition nikirudi likizo...
 
Physics bila shaka inasumbua wengi. Nakumbuka physics teacher dismissing definition temperature which I proudly uttered- degree of hotness or coldness of a body. No no that won't do here! A level definition is slightly hard working like- is that property of body which determines weather or not its in thermal equilibrium with another body! Things get more abstract next level-temp is partial derivative of entropy with respect to internal energy!
 
nenda mwenge karibu na uwanja wa mpira wa miguu mwenge , panaitwa mzumbe motto tuition jamaa wamapiga pindi kwa moyo wote, jamaa wa physis namba yake hii 0716282670
 
Back
Top Bottom