nenda mchikichini au mwenge hukosi tuition...
Tuition is for primary 7 kids. A level mtu lazima uwe mkakamavu. Unjituma kweli.
kujituma ni sawa lakini je unachokitilia mkazo kinaingia kichwani?? maana hakuna kitabu cha advance kilichoandikwa kwa kiswahili.. na statement yako ipo vice versa ukiwa mdogo unatakiwa ushughulishe bongo isije ikalala.. by the way advance ulikomaa mwenyewe nini??
Sikuwahi kuhudhuria tuition once somehow we sailed through public schools. Reading topics ahead during school holidays inasaidia.
ukiona mambo haziendi unavizia aliesoma tuition unadiscus nae.. things are cooking on!! mimi nilihudhuria kwa baadhi ya topic ambazo zilikua zinanichanganya haswa physics.. nilikua nazisoma za mbele wakat nipo skuli kama ikinizingua natafuta tuition nikirudi likizo...