BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,248 Mar 20, 2017 #1 Jamani nafikiri ni wazima. Naomba kujua ubora wa tairi hizi za Good ride toka china maana kuna mtu anataka kuniuzia used lakini zina hali nzuri.
Jamani nafikiri ni wazima. Naomba kujua ubora wa tairi hizi za Good ride toka china maana kuna mtu anataka kuniuzia used lakini zina hali nzuri.
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Mar 20, 2017 #2 BRO SANTANA said: Good ride toka china maana kuna mtu anataka kuniuzia used lakini zina hali nzuri. Click to expand... Sikushauri kununu used Sababu bei yake sokoni ni ya chini na unaweza imudu. Kumbuka tairi ndio usalama wako.
BRO SANTANA said: Good ride toka china maana kuna mtu anataka kuniuzia used lakini zina hali nzuri. Click to expand... Sikushauri kununu used Sababu bei yake sokoni ni ya chini na unaweza imudu. Kumbuka tairi ndio usalama wako.