Msaada wa udhamnini ,expecial anaefanya serikalini

Msaada wa udhamnini ,expecial anaefanya serikalini

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
Wakuu,
Mwenye kweza msaidia mzee wangu huyu akapate mkate wake wa kila siku ,amepata pa kujishikiza ila anahitaji wadhamnini wawili mmoja mfanya kazi serikalini na mwingine kawaida

Huyu wa kawaida yupo kipengele icho cha wa serikalini, mwenye kuweza kumsaidia anaweza ni Pm
 
mwalimu anafaa kwenye udhamin? muulize mpwayungu village hilo swali, akikujibu uje uniambie.
 
Acha uvivu, weka maelezo vizuri usaidiwe. Huko PM mtu anakuja akiridhishwa na utangulizi wa hapa.
 
Back
Top Bottom