Ndugu ktk forum hii, mwanangu wa like kamaliza kidato cha NNE, na kupata division one point 12, anapenda tokea utoto wake kusomea u-pilot
Kutokana na changamoto ya kukosa ada familia tunaelekea kufeli kumfikisha ktk malengo, je naweza kupata scholarship? kwa namna yoyote, na huku mm am blind kabisa ktk jambo hili.
Naomba kuwasilisha.