Msaada wa ufadhili wa elimu ya juu ngazi ya shahada katika uuguzi (bachelor in nursing)

Msaada wa ufadhili wa elimu ya juu ngazi ya shahada katika uuguzi (bachelor in nursing)

Shimaje

Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
86
Reaction score
47
Habari za muda huu wana jamvi?

Mimi ni kijana wa kitanzania (Me) nina umri wa miaka 26, nimedahiliwa kusoma Bachelor of Science in Nursing katika chuo kikuu cha dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo 2021/2022 as equivalent applicant (najiendeleza kutoka Diploma).

Shida yangu ni kupata ufadhili wa masomo (nimeambatanisha na Fee structure) kutoka kwa mtu binafsi au Taasisi kwa masharti nafuu aidha kwa kulipa pesa au kufanya kazi katika taasisi husika.

Ahsanteni
 
Attachments

ahsanteni
Kwanini usingeajiriwa kwa ngazi ya diploma ukakusanya ada ya degree kuteseka huko shida yote ni nini? Na kuna bodi ya mikopo ulivyoomba hujapata?

Maana Tuition fee ya 1,500,000 ni ndogo sana kama ungejipanga mapema. Kwa maisha ya sasa kulivyo na graduate wengi ni ngumu sana kupata sponsorship hlf uje umfanyie kazi wkt fresh wapo wamejaa na ukizingatia application ya nursing degree ilivyo finyu ndo balaa linaanza hapa.
 
Yaani hapo ndio unafukuzia degree🤣🤣🤣🤣mateso yote hayo uje ukule mshahara wa shilingi ngapi???
 
Back
Top Bottom