Msaada wa ufadhili wa masomo chuoni wa kumalizia mwaka mmoja uliobaki

k s k

New Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1
Reaction score
3
Habari wana Jamiiforum,

Mimi ni mwanafunzi wa diploma in diagnostic radiography mwaka wa tatu.

Naomba msaada kwa taasisi au mtu binafsi mwenye uwezo wa kunilipia ada ili niweze kumalizia mwaka wangu wa mwisho wa masomo au kama kuna hospital yoyote inaweza kunisaidia tuingie nao mkataba nikimaliza nije nifanye kazi kwao.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
Mkuu ungekuwa wazi kwa kuweka maelezo ya kutosha. Ungeweka hadi kiasi unachotakiwa kulipa pia.
 
Back
Top Bottom