Msaada wa ufafanuzi katika ujenzi wa ghorofa moja


Kaka umeelezea vizuri sana ahsante kwa moyo wako hakika Mwenye nia ya kweli amejifunza kitu naomba ushauri wako mim nimejenga nikanunua vyoo vile vya kuchimbia Matank ukutani sasa fundi hakunishauri vizuri nikamwaga na zege sehemu niliyoweka matank sasa Kuna tank moja choo chake ni European( cha kukaa) lakin mim nikamodify nikaweka kwenye Asian toilet (choo cha kuchuchumaa) bomba lake la maji ni nchi mbili sasa ukiflush maji yanatoka kidogo na bila pressure issue inaweza kuwa ni nin na hiyo sehemu mpka tiles nimeshaweka inaniuma kweli kuvunja tena .
 
Ghorofa vyumba 2 chini,juu vitatu ,wastani. Ni bei gani?kila kitu standard
 
Unapatikana wapi?kwa ushauri wa kitaalam
 
Nataka kujenga ghorofa,naomba connection ya engineeer maimamizi na mshauri pia
 
Ubarikiwe sana ushauri makini

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…