Msaada wa ufafanuzi wa makosa yasiyofahamika sana kutoka kwa wataalamu wa sheria

Msaada wa ufafanuzi wa makosa yasiyofahamika sana kutoka kwa wataalamu wa sheria

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Makosa ambayo Watanzania wengi hawafahamu lakini yanaweza kuwatia hatiani kwa mujibu wa sheria

1. Uzururaji
2. Ukahaba
3. Kuumiza hisia za mtu mwingine kwa makusudi
4. Kutukana dini za watu wengine
5.

Makosa gani mengine ambayo Watanzania wengi hawayafahamu lakini yanaweza kuwatia hatiani kwa mujibu wa sheria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom