Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Mar 24, 2020 #1 Makosa ambayo Watanzania wengi hawafahamu lakini yanaweza kuwatia hatiani kwa mujibu wa sheria 1. Uzururaji 2. Ukahaba 3. Kuumiza hisia za mtu mwingine kwa makusudi 4. Kutukana dini za watu wengine 5. Makosa gani mengine ambayo Watanzania wengi hawayafahamu lakini yanaweza kuwatia hatiani kwa mujibu wa sheria? Sent using Jamii Forums mobile app
Makosa ambayo Watanzania wengi hawafahamu lakini yanaweza kuwatia hatiani kwa mujibu wa sheria 1. Uzururaji 2. Ukahaba 3. Kuumiza hisia za mtu mwingine kwa makusudi 4. Kutukana dini za watu wengine 5. Makosa gani mengine ambayo Watanzania wengi hawayafahamu lakini yanaweza kuwatia hatiani kwa mujibu wa sheria? Sent using Jamii Forums mobile app
Mvumbo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 3,489 Reaction score 12,137 Nov 26, 2020 #2 Kutumia VPN.
Full charge JF-Expert Member Joined Mar 1, 2018 Posts 1,678 Reaction score 1,617 Feb 28, 2021 #3 Mvumbo said: Kutumia VPN. Click to expand... Cyo kwel