Msaada wa Ufafanuzi

Msaada wa Ufafanuzi

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Habarini wakuu!
Ninaomba kueleweshwa kwa anayejua vizuri

Je faida gani wakala wa kuuza LUKU na VOCHA anaipata kutokana na utoaji wa huduma hii. Hasa kwa wale wanaotumia zile mashine za maximalipo?
 
Back
Top Bottom