Msaada wa Ufugaji wa Mbwa na upatikanaji wake.

Msaada wa Ufugaji wa Mbwa na upatikanaji wake.

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Ndugu wajasiria mali, nimebahatika kupata ekari 30 kwa ajili ya kilimo. Na eka tano kwa ajili ya ujenzi wa nyumba huko mashambani. Nategmea mwakani niachane na ajira nikafanye shughuli za ukulima na ufugaji.

Naombeni msaada kwa yeyote anaye fahamu namna bora ya kufuga mbwaa. Pamoja na upatikanaji wa mbwa wazuri kwa ulinzi. Gharama za manunuzi, napenda nianze kufuga mbwa 2 mapema ili pindi nikiamia mashambani nahamia nao.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom