msaada wa ugonjwa kichwani.

Mr Mr

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
34
Reaction score
8
Mie nikijana nina tatizo la mapele kichwani ukiyatumbua yanatoa usaha unfuatiwa na damu, yanapo kauka yanakuwa kama mapunye. Nimetumia dawa nyingi tofauti lakini sioni mafanikio. Nambeni msaada nitumie dawa gani? Kwa mawasiliano zaidi 0765893098
 
Mwone daktari. Hiyo "fungus" ambayo kuitibu ni mpaka utumie dawa za kumeza maana iko kwenye damu. Dawa za kupaka hazitaimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…