Noel Alex Makumuli
Member
- Nov 3, 2016
- 8
- 6
Habari zenu wadau.
Nilikuwa naomba msaada wa uhakiki wa maneno yaliyotumika katika kutayarisha Shahada hii.
Shahada hii ni Hati ya Shukrani kwa ajili ya kuthamini mchango wa wanajumuiya wetu ambao wamejitolea katika shughuli mbali mbali katika jumuiya yetu. Kujitolea huku kunaweza kuwa fedha, mapishi, usafi, muda na mambo mengine mbali mbali.
Tumeamua kutayarisha Hati yetu ya Shukurani kwa lugha ya Kiswahili.
Nitashukuru wadau kama mutanisaidia kuhakiki maneno na kunipa marejesho kama kuna mahali nimekosea au natakiwa niongeze.
Shukurani.