Msaada wa ujenzi rahisi

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
2,026
Reaction score
3,107
Wasalaam wanaJF,
Naomba Msaada wa kitaalam utakaoniwezesha kupaua kibanda changu kilichopo Tanga kwa garama nafuu.....

Bati napendekeza ziwe za migongo myembamba lakini za rangi(red/blue), Mbao zipo, nahitaji gharama za fundi na namna ya kuzipata bati pendekezwa kwa unafuu. Kibanda kina vyumba vinne, jiko, sebleni na dinning. Nashukuru kama nitakuwa nimeeleweka...
 
Wasilisiana Na 0716804042 ni mtaalaamu wa majengo yuko huko tanga atakushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…